ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
  • Home
  • FAQ
  • About
  • Blog
  • Contact
  • Home
  • FAQ
  • About
  • Blog
  • Contact
Picture

TUNATIBU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME HADI KUPONA KABISA
_____________________________________

SIMU: +255 766 431 675/au +255 656 620 725
EMAIL: 
khamisiibra@gmail.com

  • HOME
  • FAQ
  • ABOUT
  • NEWS
  • CONTACT
<
>

Madhara ya presha ya kupanda kwa nguvu za kiume​ na afya kwa ujumla

Picture
Presha ya kupanda ni nini?
Presha ya kupanda au shinikizo la juu damu, kwa Kiingereza High Blood Pressure (Hypertension), ni pale ambapo msukumo wa mtiririko kupitia mishipa ya damu wakati wote unakuwa juu. 

Mara nyingi shinikizo la damu la kupanda au presha ya kupanda kama ambavyo wengi tunaita, ni ugonjwa ambao unaweza usikuonyeshe dalili zozote kwa nje. Ndiyo maana ugonjwa huu ukapewa jina la bandia, ukaitwa muuaji wa kimya kimya (silent killer). 

Kwa nini uliitwa Silent Killer? Kwa sababu hudhuru viungo vingi ndani ya mwili wako kwa kimya kimya bila kukuonyesha dalili zozote kwa nje jambo ambalo litakufanya uendelee kuumia bila ya wewe kutambua. Huua figo kimya kimya, hudhuru moyo na mishipa mbalimbali mwilini kimya kimya; wakati huo huo wewe utakuwa unadunda tu barabarani na kufanya kazi zako kama kawaaida bila kuhisi shida yoyote.

Imekuwa ikitokezea mara kadhaa watu wakienda hospitali kwa matatizo mengine ya kiafya, wanapopimwa hukutwa na presha ya kupanda. Hata watu ambao wamekuwa wakifika katika kliniki yangu na wengine kunipigia simu ninapofanya mahojiano nao ninapo washauri kupima presha baadhi yao hukutwa na presha na hapo hushangaa na kushtuka sana!

Kupungua nguvu za kiume
Uhusiano wa matatizo ya nguvu za kiume na presha ya kupanda ni mkubwa sana. Kwa nini kuna uhusiano mkubwa? Presha ya kupanda husababisha damu ndogo sana kutiririka ndani ya uume. Uume unatakiwa upokee damu ya kutosha tena yenye kuja kwa nguvu au kasi ili uweze kusimama vizuri na kwa uimara. Presha ya kupanda hudhuru kunyanzi za mishipa ya damu na hivyo kusababisha mishipa hiyo kukakamaa na njia yake ya kupitisha damu kuwa nyembamba zaidi (athererosclerosis). Presha ya kupanda husababisha mishipa ya ateri kushindwa kufunguka vizuri na hata kupelekea kupasuka.

Matatizo mengine ambayo huweza kusababishwa na presha ya kupanda
Mbali na upungufu wa nguvu za kiume, presha ya kupanda huweza kusababisha matatizo mengi ya kiafya.

Mshtuko wa moyo au kiharusi: Kama kuta za mishipa yako ya ateri zitaendelea kuumizwa na shinikizo la juu la damu, basi mishipa hiyo itadhurika, halikadhali ogani mbalimbali ndani ya mwili wako pia zitadhurika, na kupelekea kupata mshtuko wa moyo, au kiharusi, kutokana na kukakamaa kwa kwa mishipa ya ateri.

Kuvimba kwa mishipa ya damu: Au mishipa yaweza kudhoofika na kuvimba (Aneurysm). Hali hiyo inaweza kusababisha mishipa kupasuka na kupoteza maisha. Kama shinikizo la damu litendelea kuwa juu kwa muda mrefu, misuli ya moyo ambayo hulazimika kusukuma damu katika hali hiyo huvimba, na hatimaye polepole misuli hiyo iliyovimba hushindwa kusukuma damu kwa mahitaji ya mwili (heart failure).

Matatizo ya figo: Mishipa ya damu ndani ya figo hudhoofika kutokana na pasha ya kupanda, na hivyo figo hushindwa kufanya kazi zake vyema ipasavyo.

Macho kushindwa kuona: Kutokana na shinikizo la damu la kupanda, mishipa ya damu ya kwenye macho pia hudhoofika na hivyo kusababisha mtu kushindwa kuona.
 
Tatizo la kuvunjavunja kemikali: Mwili hushindwa kuvunja vunja kemikali (Metabolic syndrome) na hata kukosa kumbukumbu.

Matibabu na ushauri kutoka LIFE HERBAL CLINIC
Wakati ambapo dawa za hospitali haziitibu presha ya kupanda, dawa asilia zinafanya maajabu makubwa sana. Tunazo dawa ambazo zinatibu presha ya kupanda na kuisha kabisa. Tunazo dawa za presha ya kupanda (shinikizo la juu la damu), tunaitibu presha ya kupanda na kuisha kabisa, dalili za presha ya kupanda pia huisha kabisa. Kwa ujumla tunatibu kabisa hadi tatizo linaisha kabisa. Dawa zetu zinaangazia kwenye sababu za presha ya kupanda. Pia, tunakupa ushauri mpana juu ya namna na jinsi ya kuzuia presha ya kupanda. Dawa nyingi za kemikali zimefeli kabisa katika kumaliza tatizo la presha ya kupanda. Tiba asili ya presha ya kupanda, ndiyo tiba ambayo huweza kumaliza tatizo kabisa kwa usahihi. Dawa zetu zinakwenda moja kwa moja katika vyanzo na sababu iliyopelekea presha kupanda.
Picture
Dr. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume na afya ya uzazi wa mwanaume kwa ujumla. Anatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Anatibu hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matatibabu ya uhakika wala siyo ya kubahatisha. Pia, anakupatia ushauri juu ya afya yako kwa ujumla na chakula kulingana na chanzo chako cha tatizo lako. Soma zaidi maana ya kupungua nguvu za kiume, sababu za kupungua nguvu za kiume na matibabu sahihi ya kutibu upungufu wa nguvu za kiume kwa usahihi na ufasaha.
Maelezo zaidi bofya hapa

Tabia na magonjwa yanayodhuru viuungo na vitu vinavyoshughulika na nguvu za kiume mwilini

Kuna tabia na magonjwa mbalimbali zaidi ya 200 ambayo hudhuru viungo na vitu mbalimbali ndani ya mwili vinavyohusika na nguvu za kiume. Hapa tumekuwekea baadhi ya magonjwa na tabia. Bofya kwenye maneno "Soma hapa zaidi," uweze kufahamu ni kwa namna gani ugonjwa husika husababisha kupungua nguvu za kiume.
Picture

punyeto/kujichua

Jinsi Kujichua/punyeto inavyoathiri nguvu za kiume na afya kwa ujumla.
Soma hapa zaidi.
Picture

Kitambi

Jinsi kitambi kinavyoathiri nguvu za kiume na afya kwa ujumla.
Soma hapa zaidi.
Picture

Vidonda vya tumbo

Jinsi kitambi kinavyoathiri nguvu za kiume na afya kwa ujumla.
Soma hapa zaidi.
Picture

Viagra na jamii ya Viagra

Jinsi dawa za Viagra zinavyoathiri nguvu za kiume na afya kwa ujumla.
Soma hapa zaidi.
Picture

Presha ya kupanda

Jinsi presha ya kupanda inavyoathiri nguvu za kiume na afya kwa ujumla.
Soma hapa zaidi.
Picture

Kisukari

Jinsi ugonjwa wa kisukari unavyoathiri nguvu za kiume na afya kwa ujumla.
Soma hapa zaidi.
Picture

Sigara

Jinsi uvutaji wa sigara unavyoathiri nguvu za kiume na afya kwa ujumla.
Soma hapa zaidi.
Picture

Mishipa ya neva/ubongo

Maradhi ya mishipa ya neva/ubongo yanavyoathiri nguvu na afya kwa ujumla.
Soma hapa zaidi.
Picture

Pombe

Jinsi pombe inavyoathiri nguvu za kiume na afya kwa ujumla.
Soma hapa zaidi.
Picture

Tezidume

Jinsi matatizo ya tezidume yanavyoathiri nguvu za kiume na afya kwa ujumla.
Soma hapa zaidi.
Picture

Ngiri/Hernia

Jinsi ngiri (hernia) inavyoathiri nguvu za kiume na afya kwa ujumla.
Soma hapa zaidi.
Picture

Kufunga choo

Jinsi tatizo la kufunga choo linavyoathiri nguvu za kiume na afya kwa ujumla.
Soma hapa zaidi.
Picture

Upasuaji na dawa

Matibabu ya upasuaji na dawa zinavyoathiri nguvu na afya kwa ujumla.
Soma hapa zaidi.
Picture

Magonjwa ya ini

Jinsi magonjwa ya ini yanavyoathiri nguvu za kiume na afya kwa ujumla.
Soma hapa zaidi.
Picture

Kuendesha basikeli muda mrefu

Kuendesha baiskeli kwa muda mrefu sana kunavyoathiri nguvu za kiume.
Soma hapa zaidi.

Usiendelee kuteseka


Dr. Khamisi Ibrahim Zephania, ni daktari bingwa wa tiba asilia aliyebobea katika matibabu ya nguvu za kiume. Anakutibu hadi tatizo lako liishe kabisa

MAGONJWA MENGINE TUNAYOTIBU KWA UHAKIKA MKUBWA

Picture

Magonjwa ya ngozi

Tunatibu magonjwa ya ngozi ya aina zote kwa uhkaika mkubwa sana.
Soma hapa zaidi.
Picture

pumu (asthma)

Tunaitibu pumu (asthma) hadi kupona kabisa. Ni uhakika.
Soma hapa zaidi.
Picture

Saratani/kansa

Tunatibu kansa mbalimbali katika hatua ambayo haijakomaa sana.
​
Soma hapa zaidi.
Picture
Dr. Khamisi Ibrahim Zephania 
Ni daktari aliyebobea katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume. Anatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Anakutibu hadi tatizo lako liishe kabisa. 
Soma Zaidi Hapa
Je, una tatizo la kupungua nguvu za kiume? Usihangaike sasa. Jaza fomu ifuatayo kisha eleza tatizo lako kadiri uwezavyo. Kisha tutumie tutakujibu kisha tutafanya mahojiano na wewe. Kuna maswali ambayo tutakuhoji kwa ajili ya kujua chanzo na sababu ya tatizo lako. 

    Eleza tatizo lako

    Jina kamili la kwanza na mwisho
TUMA

Tunajibu EMAIL ndani ya saa 24

Unaweza kujaza fomu hiyo hapo juu na ukaeleza tatizo lako au unaweza kututumia email moja kwa moja kwa baruapepe hapa chini au unaweza kuwasiliana nasi kupitia simu za mkononi hapa chini au whatsapp +255762403706. 

email

khamisiibra@gmail.com

simu

255766431675
255656620725

anwani

Nkurumah na Uhuru
​Mwanza, Tanzania


ONYO: Kuna watu huiba makala kutoka kwenye tovuti zangu na vitabu vyangu kisha huweka kwenye blogu zao wakijifanya kuwa na wao ni watabibu. Watu hawa wamenifanyia uharibifu mkubwa, na tayari nimeshawaripoti katika vyombo husika. Usijaribu kufanya hivyo utaumia bure kwa adhabu itakayokufika.
Tweet to @drkhamisi

Share

Powered by Create your own unique website with customizable templates.